DAR:
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari (TPA), wanamshikilia Samwel Nzagi Kilang'ani kwa tuhuma za
kutoboa bomba la mafuta ya Dizeli mali ya TPA, na kujiunganishia bomba
jingine hadi nyumbani kwake.
- Jeshi la polisi linawatafuta watuhumiwa wengine waliokuwa wanashirikiana nae
- Jeshi la polisi linawatafuta watuhumiwa wengine waliokuwa wanashirikiana nae
No comments:
Post a Comment