Rais John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa Ikulu jijini Dar
- Baada ya mazungumzo, Lowassa amempongeza Rais kwa kazi nzuri anayoifanya akitolea mfano utaoji wa elimu bila malipo na ujenzi wa mradi wa uzalishaji wa umeme katika maporomoko ya Rufiji wa Stiegler's Gorge

No comments:
Post a Comment