Ujerumani yaongoza dunia katika viwango vya ubora - Dar East Project

Post Top Ad

Ujerumani yaongoza dunia katika viwango vya ubora

Ujerumani yaongoza dunia katika viwango vya ubora

Share This
Shirikisho la soka duniani, FIFA, limetangaza viwango vya ubora kuelekea kombe la dunia wiki ijayo nchini Urusi. Ujerumani inaendelea kuongoza dunia, ikifuatwa na Brazil.

Ubelgiji ipo katika nafasi ya tatu, Ureno ya nne huku Argentina ikifika tano bora.

Barani Afrika, Tunisia ni ya kwanza lakini ya 21 dunia. Senegal ni ya pili Afrika, huku DRC ikiwa ya tatu na ya 38 duniani.

Uganda ni ya 82 duniani baada ya kushuka nafasi nane, huku Kenya ikiwa ya 112 duniani.

Rwanda 136, Tanzania 140, Burundi 148.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here