MAGONJWA YA MIFUGO, DALILI NA TIBA
EAST COAST FEVER
( Ndigana kali)
( Ndigana kali)
Ndigana kali ni gonjwa ambalo sio la kuambukiza,
ambalo umpata ng’ombe na hua dalili zifuatazo
Ø Homa kali
Ø kukohoa
Ø dyspnoea
Ø Kutokwa na
kamasi
Ø Kuvimba lymp
MAAMBUKIZI
Ndigana kali
husambazwa na kupe anaeitwa Rhipicephalus appendiculatus
Huambukiza kwa kula masikio ya ndama na pia
huzaliana hapo nakua wengi.
utambuzi
unaweza kutambua kwa kutumia historia ya mfugaji
kuwaosha, lakini pia unaweza kutambua kwa kutumia dalili zifuatazo.
- homa kali
- kutokea kwa magonjwa mengine yanayo tokana na kupe mfano (Anaplasmosis, Babesiosis, Trypanosomosis)
- mnyama kukosa laa
- kuvimba lymp
TIBA
- Clexon (parvaquone,10mg/kg IM, q 48h tiba mara mbili) inaleta matokeo mazuri
Matayalisho mengine
kama dawa (Buparvaquone, fruvexone, parvexon)
Prednisolone
(inapunguza uvimbe)
usafi wa hali ya juu
kuzungushia fence kupulizia
dawa malisho na wanyama
No comments:
Post a Comment