UFUGAJI SAMAKI AINA YA SATO UFUGAJI SAMAKI AINA YA SATO UFUGAJI
SAMAKI SATO UFUGAJI BORA SAMAKI AINA YA SATO 1.0 UFUGAJI WA SAMAKI Ø Ni kitendo cha kuzalisha samaki katika mabwawa, matenki au Mifereji kwa lengo la chakula au kujipatia kipato 1.1 UMUHIMU WA UFUGAJI WA SAMAKI Ufugaji wa samaki unazo faida mbalimbali ambazo ni:- Ø Kujipatia chakula bora na cha kutosha kwa ajiri ya familia na jamii. Ø Njia bora ya kujiajiri na kujiongezea kipato kutokana na mauzo ya samaki. Ø Hutoa fursa ya matumizi ya ardhi isiyofaa kwa ajili ya kilimo. Ø Ufugaji wa samaki hutoa nafasi ya kilimo mseto cha samaki na mazao/mifugo kwa wakati mmoja katika eneo moja, hivyo kutoa mavuno mengi. 1.2.0 MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA UFUGAJI WA SAMAKI; 1.2.1Mtaji Ø Mkulima anashauriwa kuhakikisha kuwa ana mtaji kabla hajaamua kufanya ufugaji wa samaki, kiwango cha mtaji kitategemea ukubwa wa mradi husika. 1.2.2 Soko Ø Ni vyema kujua upatikanaji wa soko pamoja na washindani wako kabla ya kuanzis
No comments:
Post a Comment