UFAGAJI BORA WA KUKU AINA YA KULOIREL - Dar East Project

Post Top Ad

UFAGAJI BORA WA KUKU AINA YA KULOIREL

UFAGAJI BORA WA KUKU AINA YA KULOIREL

Share This
UFAGAJI BORA WA KUKU AINA YA KULOIREL

UFAGAJI BORA WA KUKU AINA YA KULOIREL: Kuloirel ni kuku chotara ambaye asili yake ni nchini india, na imetokana na mchanganyiko wa  dume la broiler na jike aina ya Rhode island red au dume la white legham na jike la Rhode island red. Kuku hawa ni moja kati ya kuku wasio na gharama kubwa katika kuwafuga lakini pia wana faida kubwa pindi ukiamua kuwafuga. Lakini pia
kuku hawa ni moja kati ya mbegu ambayo inafanya vizuri sana katika nchi nyingi.



SIFA ZA KULOIREL

    Ni aina ya kuku ambao hutumika kwa matumizi ya ani nyama pamoja na mayai
    Kuku mmoja anauwezo wa kutaga mayai 150 hamsini kwa mwaka ukilinganisha na kuku wengine hutoa 40- 50 kwa mwaka.
    Madume ya  kuloirel hua yana kilo 3.5  na jike ni kilo 2.5  ukilinganisha na kuku wengine dume hua na kilo 2.5 na jike ni kilo 1.5.
    Pia ni moja kati ya aina ambayo haipati magonjwa kirahisi (disease resistance)
    Kuku hawa hawana gharama sana katika kuwalisha kwa sababu wanauwezo pia wa kula chakula kama kuku wa kienyeji.



BANDA
Kama walivyo  kuku wengine banda lazima liwe bora ili kuweza kupata kuku bora pamoja na mayai mengi, ila pia kuku wa aina ya kuroiler sio lazima uwafungie ndani moja kwa moja unaweza kutengeneza sehemu ambayo utawafungulia ili kuweza kujipatia chakulatofauti na kuku wa kisasa.

Lakini pia ni vyema kila wakati ukazingatia usafi ni muhimu hivyo ni vyema kuzingatia hilo


CHAKULA
Chakula ni lazima kiwe bora ili kupata kuku bora pamoja na mayai ya kutosha.

    Kuku jike mmoja anakadiliwa kula kilo 5-8 kabla ya kuanza kutaga.
    muhimu sana kwa mfugaji kujifunza jinsi ya kuchanganya chakula mwenyewe.
    kuanzia siku 1 hadi wiki 4 unatakiwa kuwapa chakula cha kuanzia (chick starter mash)
    kuanzia wiki ya 4 hadi 8 unawapa chakula cha kukuzia (chick grower mash)
    Kuanzia wiki ya kwanza kuanza kutaga hadi mwisho unatakiwa kuwapa chakula(layersmash)
    Lakini pia inakadiliwa kua na drinker 15 na vyombo vya kulia chakula, wastani wa kuku 1000.


wasiliana nami kwa 0713573756
C.E.O Mr  Msuya

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here