Habari za Mastaa Walichoandika Wolper, Snura na Prof. Jay kuhusu kifo cha Sam wa Ukweli - Dar East Project

Post Top Ad

Habari za Mastaa Walichoandika Wolper, Snura na Prof. Jay kuhusu kifo cha Sam wa Ukweli

Habari za Mastaa Walichoandika Wolper, Snura na Prof. Jay kuhusu kifo cha Sam wa Ukweli

Share This
Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo kuthibitisha kuwa Sam wa Ukweli alikuwa akiumwa UKIMWI wa kulogwa..

..>>> “Sam alianza kuzidiwa toka J’mosi, tulipomuuliza anaumwa nini alisema UKIMWI lakini sio UKIMWI wa kawaida bali wa kulogwa” – Steve

Sasa baadhi ya mastaa mbalimbali wameguswa na tukio hilo na kupost kwenye ukura zao za Instagram…>>>“Dah!!!😢😢😢😢nitasema nini sasa mimi 😢😢tangulia tu mdogo wangu harakati ndio zimeishia hapa kweli????😢😢😢😢😢” – SNURA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here