KILIMO/MIFUGO-KIBIASHARA
TAARIFA
Kwa:
Wanagroup Wote
@Sis Fetty-Group Admin
@Dada Irene Sophy--Group Admin
@-DC- Group Admin
@Rabbit Father- Group Admin(kijiji cha wafugaji)
Kutoka: @Mr Msuya- Group Admin(Kiongozi)
Tarehe: 19 July 2018
Yah: MJADALA JUU YA KUWEKA TARATIBU ZA
VIKAO VYA WAZI
Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
Napenda kuwajulisha kwamba kutokana na wadau wa fani hii ya
kilimo nafifugo kuona kuwa tunaweza tukasonga mbele zaidi hasa kibiashara na
kufikia viwango vya juu katika kuleta mageuzi chanya na yenye tija juu ya
tunacho kiamini.
Imeelezwa kuwa kuanzisha vikao vya wazi kwa wana
KILIMO/MIFUGO-KIBIASHARA huondoa hofu baina ya wanachama,lakini pia huzidisha
upendo na urafiki,huongeza tija na uaminifu hasa katika swala zima la
kibiashara.
Tukapitisha kuwa tukubaliane kwa kujiandikisha majina
kuonesha utayari wa kufika kikaoni hapo kwa tarehe itakayo tajwa .
*Orodha ya Wana Kilimo na Ufugaji Waliojitambulisha*
1.
Sis Fetty
2.Irene
Sophy Kigamboni
3.Rashid
Busolo Mombo Korogwe
4.Ashura
Iddy Geita
5.Stephen
Manase
6.Mohamedi
Alkalawiy Dar
7.
Mr Msuya Bunju
8.
Pancras Ndunguru Temeke
9.Omari
M Mnyeshani Dar
10.
Remmy Benny Mwanza
11.
Minael Masasi Madale
12.
Anyitike Kasongo Makambako
13.Joshua
Joram Moshi
14.
Herman Joseph Tanga
15.
Zuberi Kafashe Kigamboni.
16.Junior
David from dar
17.Elpidius
Kateme from mbeya
18.Salma
Seif Zanzibar19.Elisha Ngonepo Dar
20.Ally
Mohammed Dodoma
21.
Yusuph Nyansika Dar
22.Teddy
Daniel Dar
23.Rose
Kiondo Dar
24.Alphonsia
Mligo Songea
25.Thuleiya
Mselem Dar.
26.Tunu
Mahenge - Uyole Mbeya.
27.
Esther Thomas Dar
28.
Aden Mahondo Mbeya
29.
Seleman Nyakusamaga
30.Saleh
Kifaya Kigamboni
31.
Joyce Ikombe Mwanza
32.Salimu
omari-tanga
33.
David Jasper
34.Samson
Alphonce
35.
Charlie Chale
36.Savio
savio-Mbeya
37.
Method Pancras
38.
Uwezo Mkandama- Kigoma
39.
Amran Mangube-Tabora
40.Genesis
Genesis-Kyela
41.
Mussa Mtuly - Morogoro
42.Joseph
Simon
43.
Ally Said -bagamoyo
44.
Benjamin Tarimo
45.
Lameck Pontion- Kagera
46.Abuu
Nahween
47.
Paul P. Mrosso Dsm
48.
Amedeus Nguma - Moshi
49.
Hussein Hassan
50.
Emma Melisa
51.Herman
Cosmas-Tanga
52.Gibson
Mwamakula-Mbeya
53Otto
Benedict-Dom
54.Fredrick
Kihere-Tanga
55.Mr
Masasi-Dar
56.Mohamed
Alkalawiy-Dar
57.Pancras
Ndunguru-Dar
58.Lushumo
Mshana-Kahama
59.Martha
Charles-Dar
60.Frank
Mpota-Moro
61.Lanvin
Camillius
62.Elpidius
Kateme-Mbeya
63.Mary
Kibogoya-Bagamoyo
64.Deo
Lyimo-Njombe
Ikaelezwa
kuwa kikao kitafanyika kwenye mkoa utakao kuwa na wanagroup wengi ,hivyo
kutokana na hilo tutapitia hapo majina na waliopo hapo juu tutaona na kuchangia
tukutane sehemu gani itakuwa rahisi kufikika kirahisi na kila mwanagroupo.
MALENGO YA MKUTANO HUO
1)kupitia
fulsa za masoko katika fani hii ya ufugaji na kilimo,lakini pia kubadilishana
mawazo na wanagroup wenzetu juu ya wanayo yajua wao kuhusu uwanja huu wa
kilimo/ufugaji
2)kutambuana
kiuhalisia wanagroup ili kutoana hofu za kiujamaa kibiashara.
AHSANTE KWA UMOJA
WETU NA USHIRIKIANO
BY: Group Admin
kiongozi
Mr Msuya
No comments:
Post a Comment