Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 15 Januari, 2019 ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya Bharti Airtel ya India juu ya umiliki wa hisa za kampuni Airtel Tanzania na maslahi mengine ya Tanzania kutokana na biashara ya kampuni hiyo.Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi ametia saini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal ametia saini kwa niaba ya kampuni ya Bharti Aitel.Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi amesema katika makubaliano hayo kampuni ya Bharti Airtel imekubali kupunguza umiliki wa hisa zake za kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kutoka asilimia 60 hadi 51 na hivyo kuongeza hisa za Serikali kutoka asilimia 40 hadi 49 bila malipo yoyote kutoka Serikalini.
Post Top Ad
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
after feel and see a large increase in jobs in the country, had to keep me this page dedicated to discuss together with teens on get rid of the labor market, so on this page I have make matters of agriculture and livestock, sports and different information, but also thirst my main is preparing youth unemployment the field of animal husbandry and agriculture, I have create this company Dar East firm investment for the purpose of permanent, I who is the President and director general of defi in conjunction with the team's defi, to take this opportunity to thank you for your subscription to this blog I believe you will find a positive impact
No comments:
Post a Comment